MAMBO MUHIMU KUANGALIA KABLA YA KUANZA KUTUMIA DAWA ZA DUKANI
1.Indication
Vi vema UANGALIE dawa husika inatibu magonjwa gani !
WAFUGAJI wengi ununua dawa bila kutazama (indication) ya dawa husika
Hivyo uchangia kusababisha vifo vya kuku bila wao kutambua nini chanzo chake
2.Administration and dosage
Utakua MFUGAJI kesho ana mpango wa kuwapa chanjo kuku wake ila siku ya leo anawapa maji yenye dawa ya infection coryza au fowl typhoid
Unakua unakosea sababu tayari katika admistratation umeambiwa (must not allowed access to any other water)
Hivyo basi ni vema kuzingatia maelekezo kamili ya dawa kabla ya kuwapa
3.Dosage
Lazima uzingatie ni kihasi gani cha maji(litre) kinahitajika ili dawa iweze kufanya kazi vizuri
WAFUGAJI wengi ukosea kuweka kiasi HALISI cha maji na hivyo kuchangia kuku kushindwa kupoma ugonjwa wake
Post a Comment