CHANGAMOTO ZA MATUMIZI YA INCUBATOR
1.Wafugaji awafati maelekezo kamili kuhusiana na matumizi ya incubator (mashine za kutoleshea vifaranga
2.Wafugaji awajalibu ili kujua na kutambua matumizi ya INCUBATOR usababisha mayai kukauka
3 .Wafugaji husahau kujaza maji kwenye (drinker) hivyo usababisha mayai kukauka
4.Wafugaji ushindwa kuchagua mayai bora yaliyolutubishwa (fertilized eggs) ya kuweka kwenye incubator
5.Wafugaji usahau kugeuza mayai mara kwa mara ikiwa incubator zao hazina mfumo wa automatically

Post a Comment