MCHANGANUO WA CHAKULA KULINGANA NA UMRI
AINA YA CHAKULA
Week 0-2 Super starter
Week 3-8 Chick starter
Week 9-20 Grower mash
Week 21-89 Layer mash
*UMRI WA WIKI 1-2 (SUPER STARTER)*
Wiki ya 1: gramu 12 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 2: gramu 22 kwa kuku mmoja kwa siku moja
*UMRI WA WIKI 3-8 (CHICK STARTER)*
Wiki ya 3: gramu 27 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 4 gramu 32 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 5: gramu 38 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 6: gramu 42 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 7: gramu 46 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 8: gramu 50 kwa kuku mmoja kwa siku moja
*UMRI WA WIKI 9-18 (GROWER MASH)*
Wiki ya 9: gramu 56 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 10: gramu 62 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 11: gramu 64 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 12: gramu 66 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 13: gramu 68 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 14: gramu 74 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 15: gramu 74 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 16: gramu 80 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 17: gramu 82 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya18: gramu 88 kwa kuku mmoja kwa siku moja
*UMRI WA WIKI 19-40 (LAYERS MASH 1)*
Wiki ya 19: gramu 92 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 20: gramu 102 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 21: gramu 108 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 22: gramu 114 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 23: gramu 116 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 24: gramu 120 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 25-40: gramu 130 kwa kuku mmoja kwa siku moja
*UMRI WA WIKI 41-80 (LAYERS MASH 2)*
Gram 130 kwa kuku mmoja kwa siku
*NB:*a jinsi ya kubadili gramu kuwa kilo ni kama ifuatavyo
Kilo 1 = gramu 1000
Mfano - una vifaranga 100 na unatakiwa kuwapa chakula cha wiki ya kwanza tangu kuzaliwa
kifaranga 1 = gram 12 (siku)
vifaranga 100 = ?
vifaranga 100 kuzisha gramu 12
kifaranga1
12× 100 = 1200 gramu kwa siku
Kubadili gramu 1200 kuwa kilogramu
Kilo 1 = gramu 1000
? = gramu 1200
Kilo 1 × gramu 1200
Gramu 1000
= kilo 1.2 (kilo 1 na gramu 200) kwa kuku 100 kwa siku
KWA MAELEZO ZAIDI USISITE KUNITAFUTA
Post a Comment