UGONJWA WA KUKU KUVIMBA
KUKU kuvimba mfuko wa CHAKULA kunaweza kusababishwa na sababu nyingi
Kwanza kushiba zaidi CHAKULA au maji
Pili kujaa kwa hewa usababishwa na kuku kula VYAKULA vilivyo vunda (stunk food)
Tatu yawezekana ni minyoo ya koromeo(syngamus trachea) ambayo uwa inashambulia mfuko wa CHAKULA
Tiba
Unaweza kutumia Mebendazole , fenbendazole
Post a Comment