MAREKS IS CURABLE !
JIBU
Hapana bado hakuna UTHIBITISHO wa kitabibu juu ya upatikanaji wa dawa ya mareks (mahepe)
NB: Zingatia chanzo ya MAHEPE siku ya kwanza baada ya kifaranga kutotoleshwa
MAGONJWA YA KUKU
Kuku akishambuliawa na magonjwa mara nyingi uwa kuna dalili MBALIMBALI utokea
Kuku ukosa NGUVU na kudhoofika
Kuku kupoteza hamu ya kula
Upunguza utagaji wa mayai
Ili kuepuka magonjwa hakikisha mambo yafuatayo
Hakikisha kuku wanapewa chanjo zote muhimu
Hakikisha unatibu Ugonjwa husika kila wanapougua
Hakikisha unazuia vyanzo vya magonjwa katika Banda lako
Soma na hii
Fanya haya ukiona kuku wako anaumwa gusa hapa 👉👉link1
DALILI YA MINYOO YA KUKU
1.Kuku kudhoofika na kutokua vizuri
2.Kuku kufungua mdomo na kunyoosha shingo Wakati wa kupumua
3.Kupauka sehemu zisizo na manyoya sababu ya upungufu wa damu
DALILI ZA MATEGE (Ricket)
1.Kupinda miguu sababu ya mifupa kuwa laini
2.Ncha za mifupa mirefu kuvimba
3.Kutembea kwa shida
4.Kupungua uzito
Soma na hii
Post a Comment