TATIZO LA MIGUU YA VIFARANGA KUKOSA NGUVU
Mara nyingi wafugaji wafugaji wanalalamika kuhusiana na tatizo la miguu kwa vifaranga vyao.
Tatizo hili chanzo chake kikubwa ni chakula kisichokuwa na madini yakutosha ya calcium(chokaa) na phosphorous(mifupa), ni vyema kuwapa kuku chakula chenye madini yakutosha au chakula bora. Wakati wakutengeneza chakula tuwashauri kutumia DCP ya chenga zaidi kuliko ya unga, ingawa zote hufanya kazi sawa.
Soma na hii
Fanya haya ukiona kuku wako anaumwa gusa hapa 👉👉link1
Namna ya kutibu
1. chukua DCP wape kuku kwenye maji ya kunywa vijiko 5 kwa lita 10 za maji, na kisha ongeza DCP kwenye chakula.
2. Kama vifaranga vyako vimepiga msamba, rudisha miguu kwa kuibana na kamba au bandeji kuinyosha, baada ya siku kazaa miguu itakaa sawa.
Soma na hii
Post a Comment