GLUCOSE KWA KUKU
Soma na hii
Fanya haya ukiona kuku wako anaumwa gusa hapa 👉👉link1
Ni sukari ainae ya carbohydrates ni muhimu kibailogia katika mwili wa kuku
Vivyo hivyo ni .....!
Ni muunganiko wa vitamini C na dextrose Inasaidia kuku kuwapa nguvu MWILINI (energy)
Vitamin C ina kazi gani !
Vitamini C inapatikana hasa katika matunda na majani mabichi
Nini maana ya dextrose ni aina ya sukari aina ya carbohydrates usaidia kama chanzo cha nishati ya nguvu
Pia Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo baada ya safari au kubadilisha mazingira
DOZI
Unawapa kuku(vifaranga) wako masaa 2 baada ya kufika bandani then unaendelea na chakula chao
Soma na hii

Post a Comment