Ujenzi wa mabanda ya kufugia wanyama
Lengo
Baada ya kijifunza someone hili unatazamiwa utaweza kujenga mabanda ya kufugia kuku,nguruwe,mbuzi na kondoo
Vifaa
Vifaa unavyopaswa kuwa navyo katika kujenga mabanda ya mifugo NI hivi vifuatavyo
1.vifaa vya asili: boriti za miti,fito,kamba,udongo wa mfunyanzi na mchanga. Vingine NI mawe au kokoto,nyasi,mbao,mambo,mavi ya ng'ombe na maji
2.vifaa vya kufanyia kazi: jembe,sururu,panga,sepetu,kishepe,konobao,karai,ndoo na pipa. Vingine NI makao,wavu wa wigo wa kuku,bati,misumari,randa,msumeno,patasi,tumiza,saruji,jiriwa ya gundi ya mbao. Vingine NI guni,penseli,Pima maji na nyundo
Jifunze jinsi ya kumaliza tatizo la ndui kwa kuku ingia hapa link 1
Jinsi ya kujenga nyumba au mabanda ya kufugia wanyama
Hatua
1.wasiliana na fundi au mtu mwenye ujuzi wa ujenzi wa mabanda.
2.pata maelezo ya vifaa vya kutumia na namna ya kujenga.
3.chunguza kwa makini namna unavyoonyeshwa namna ya kujenga
4.fuatisha Kila hatua unavyoonyeshwa
5.jenga banda lako kwa usimamizi wa fundi
Utengenezaji wa vyombo vya chakula na maji kwa wanyama wafugwao
Lengo
Baada ya kijifunza mada hii unatazamiwa utaweza
1.kutengeneza vifaa vya kulia chakula kuku, nguruwe, mbuzi na kondoo.
2.kutengeneza vifaa vya kunywea maji wanyama hao
Vifaa
1.madebe matupu,mikasi ya kukatia bati,na vifaa vya kulehemu kwa risasi
2.chupa tupu ya jemu,bakuli ya plastiki au za udongo,makaona kamba.
3mbao, msumeno,randa,patasi,nyundo,gundi ya mbao,jiriwa, na klempu ya umbo G
4.matairi ya gari yaliyo kwisha tumika,kisu kikubwa na kikali,mipira ya manati
5.Rula, penseli,tupa,maji,sabuni na kikwaruzo
Kutengeneza vyombo vya kunywea maji
Hatua
1.wasiliana na fundi au mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza.
2.pata maelezo namna ya kuvitengeneza
3.chunguza kwa makini namna unavyoonyeshwa
4.fuatisha kutenda Kila hatua uliyo onyeshwa
Jifunze jinsi ya kumaliza tatizo la ndui kwa kuku ingia hapa link 1
Post a Comment