BRUDA YA KUKU
Bruda ni kifaa cha kulelea vifaranga unachoweza kutengeneza kwa kutumia singbord , mabox nk
Soma zaidi
Mbinu za kutibu mafua ya kuku kwa haraka gusa hapa link 1
Kifaa hiki mara nyingi uwa ni cha duara (cicyle) , hii ni sababu ya kufanya vifaranga wasikusanyane pembeni
Kuna madhara mengi yanayosababishwa na baridi kwa vifaranga kama kuduma(stuntedgrowth)
Soma zaidi
Post a Comment