VIOTA VYA KUKU (chicken nest)
Kiota ni sehemu ambayo kuku utaga mayai , kuatamia na kutotoa VIFARANGA
Aina za viota (type of nest)
1.Kiota kilichotengenezwa na kuku mwenyewe
Ambapo kuku mwenyewe uchagua mahali pa kutagia na kuhifadhi mayai
2.Kiota kilichoandaliwa na MFUGAJI
Aina ya viota hivi uandaliwa na MFUGAJI katika njia stahiki ili kuweza kupata mazao imara
MAHITAJI YA MUHIMU KATIKA KIOTA
Boksi la karatasi
Mbao
Nyasi
Nguo ya Aina pamba
Ukubwa wa KIOTA inatakiwa uwe unamwezesha kukaa na kujigeuza
Hii maana yake ni inatakiwa uwe na sentimita 35 upana sentimita 35 na urefu sentimita 35
Post a Comment