KUCHAGUA KUKU WA MBEGU (BREEDING STOCK)

 KUCHAGUA KUKU WA MBEGU (BREEDING STOCK)


Kabla ya kuanza mradi wa kuku, ni vizuri uchague mbegu inayofaa kwa kuangalia yafuatayo;


1. Chagua jogoo mwenye afya na mwenye umbile kubwa na mwenye nguvu.


2. Chagua kuku jike (KOO au TETEA) ambae hana tabia ya kususa mayai wakati wa kuatamia na anaewalea watoto wake vizuri.


ANGALIZO: Kama utatumia kifaa cha kutotoreshea mayai (Incubator) au mama wa kuku wa kuku mwingine (broody hen), 

tumia mayai yaliyotagwa si zaidi ya siku 14 yani wiki 2.


SABABU ZINAZOPUNGUZA UZALISHAJI WA KUKU WA KIENYEJI:


1. Changamoto kubwa ya kuku hawa wa kienyeji ni kiwango kidogo cha kutaga mayai chini ya asilimia 60% na mara nyingi hufika hatima ya kutaga haraka sana tofauti na kuku CHOTARA ambao utagaji mayai hufikia hadi asilimia 80% mpaka 90%.


2. Kufuga kuku hawa kwa njia ya kisasa ni gharama sana na mara nyingine unakuta unashindwa 

kurudisha gharama za uzalishaji. Lakini kama mfugaji atajipanga vizuri kimkakati anaweza akapunguza hasara na kuongeza faida

Post a Comment

Previous Post Next Post

Beauty

3/Beauty/post-per-tag

Labels

Nature

3/Nature/post-grid

Custom Widget

3/Business/post-per-tag

Facebook

Subscribe Us

Most Popular

Popular Posts