MINYOO YA KUKU
CHICKEN WORMS
Minyoo ya kuku imegawanyika katika makundi yafuatayo , minyoo ya koromeo , minyoo ya tumboni , minyoo bapa (tegu)
Dalili
Minyoo koromeo - Inasababisha kuziba kwa njia za hewa na kuku kushindwa kupumua vizuri
Minyoo tumboni - Hushambulia mfuko wa chakula na kuishi tumboni hasa katika utumbo mwembamba
Minyoo bapa (tegu) - Uishi tumboni na kuziba utumbo na kusababisha kifo cha kuku
Dalili za jumla
Kuku kudhoofika na kutokula vizuri
Kuku kufungua mdoma na kunyosha shingo
Kupauka sehemu zisizo na manyoya sababu ya upungufu wa damu
Tiba
Usafi wa Banda la kuku
Usafi wa vyombo vya kulia chakula (feeder, drinkers)
Dawa ya minyoo
Levamisole , piperazine., Thiabendazole , Mebendazole
Post a Comment