Kuku wamayai na kuku wa nyama

 AINA ZA LAYERS NA BROILER.




Wafugaji wengi huwa hawajui aina za hawa kuku MAYAI.NA NYAMA.


Wengi huishia kutaja kwa kampuni.


- Vifaranga wa Interchick

-Vifaranga wa Siliveland 

-Vifaranga wa Arusha Poultry na kadhalika.


LAYERS


Kwenye kuku wa mayai kuna aina mbili ila zinazo trends Tanzania ni Mbili.


1. Hyline

Hyline ni kutoka kwenye Kampuni kubwa kabisa ya vifaranga Duniani yanye makao makuu yake huko Marekani.


2. Isa brown

Isa brown ni kutoka kwenye Kampuni ya Ufaransa.


Pia kuna aina zingine za layera ila kwa Tanazania hazopo.


1. Novogen- Hawa ni kutoka Ufaransa pia.


2.Indrbro- Hawa ni kutoka India kwa Kenya na Uganda wanapatikana.


3.Lohman layers


Hao ni layers na nilizo taja hapo juu ndo zipo Tanzania hivyo unapaswa kujua kwamba Interchick wana aina ipi ya layers? Mkuza wana aina ipi? Silver landa wana aina ipi? na kadhalika.


BROILERS


Hapa pia kuna breeds nyingi za Broiler ina zinazo trade Bongo napo hazizidi mbili.


1. Cobb

2. Habberd


Na kuna zingine ambazo huku hazipo yaani hazipatikani Tanzania.


Sasa ukiwa kama mfugaji unapaswa kujua kampuni gani ina aina ipi ya Broiler. Mimi sijui ila Mfugaji ndo anapaswa kujua na si mtu mwingine.


UBORA (QUALITY)


Mara nyingi ubora hautofautiani sana ingawa kuna kiwa na utofauti labda wa kuwahi kutaga au Idadi ya mayai ua muda wa kuchoka kutaga make wapo wanao choka mapema na wapo wana chukua muda mrefu. Pia kwa Broiler ni hivyo hivyo.


NOTE: layers wanafanana sana rangi yani kama sio mtalamu huwezi sana kuwatofautisha ingawa wanautofauti kwa kuwaangalia. The same kwa Broiler kwa rangi wama fanana ila huwa kuna votu wanatofautiana kwenye maumbo yao.


Unaweza kuwa unakomaa unataka vifaranga wa kampuni fulani na hautaki wa kampuni fulani kumbe wote wana aina 1 ya Broiler au Layers


NB: Kuna kampuni 3 pekee Dunia nzima ndo zinazo tawala soko la kuku wao ndo wanamiliki GRAND PARENTS.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Beauty

3/Beauty/post-per-tag

Labels

Nature

3/Nature/post-grid

Custom Widget

3/Business/post-per-tag

Facebook

Subscribe Us