MLONGE (MLONJE)
Ina vitamin A na C , chukua majani uzito wa mikono yako miwili
Kisha yaponde na yaweke katika maji lita 10 Iache kwa masaa 12
Chuja then wape kuku , utibu MAGONJWA yafuatayo
1.Homa ya Ini
2.Homa ya matumbo
3.Kideri
4.Kipiindupindu cha kuku
5.Mafua ya kuku
Post a Comment