VENT PROLAPSE
Kutokwa kwa nyama ya ndani sehemu ya haja kuja nje
CHANZO CHA TATIZO
Tatizo ili uwakumba zaidi kuku wa mayai (layers) na kuku wa wanyama (broiler)
1.Usababishwa na kuku kulishwa chakula chenye protein kwa wingi
2.Kuku wenye uzito mdogo kutaga mayai
3.Ukubwa wa mayai
4.Ukosefu wa madini joto (calcium) ufanya kuku kushindwa kusukuma yai
KWA KUKU WA NYAMA (Broiler)
Kuku wa nyama upata tatizo ili KUTOKANA na kupewa Chakula kisichokua na MCHANGANYIKO wa ratio sahii
Usababisha kuku kushindwa kumen'genya chakula kwa usahii, hivyo usababisha kutokwa kwa nyama
TIBA
Iwapo TATIZO ili likitokea unashauliwa kutumia mafuta ya ointment , kumpa kuku matone 3 ili kuweza kulainisha mmeng'enyo
Kutumia MCHANGANYIKO mzuri katika kulisha kuku sio chakula cha kuku wa nyama unawapa kuku wa mayai
Kutumia njia ya kawaida kuludishia nyama taratibu , hakikisha umesafisha kwa maji masafi kabla ya kuludisha
Post a Comment