LISHE BORA YA KUKU
Ili kuku wako wawe na afya bora na wakue vizuri inahitajika kuwapatia chakula cha ziaida
1.Vyakula vya kujenga mwili
Jamii ya mikunde,samaki,dagaa, mashudu ya pamba, au alizeti, wadudu , funza n.k
2.Vyakula vya kulinda mwili na kujikinga na magonjwa
Majani (nyasi) , mchicha, majani ya mpapai, mafuta ,machicha ya nazi, karanga , ufuta , n.k
3.Vyakula vya kuupa mwili nguvu
Jamii ya wanga , mtama , mahindi ,chenga za mpunga ,n.k
4.Vyakula vya kujenga mifupa
Madini kama choka, chumvi , unga wa mifupa n.k
Post a Comment