BAKTERIA
Ni vimelea ambavyo havionekani kwa macho yakwaida , bakteria wengi uishi katika mimea na wanyama waliohai au waliokufa
Bakteria wanaosababisha homa upatikana katika miili ya kuku KUPITIA vinyesi vyao , mucus , chakula , maji
Aidha bakteria upatikana sehemu zenye mazingira machafu (unyevunyevu na joto)
Magonjwa muhimu yanayosabishwa na bakteria ni !
Homa kali ya matumbo
Kipindupindu cha kuku
Kuhara Choo cheupe
Mafua makali
NB:Ni vema uhakikishe unakiga kuku wako DHIDI ya magonjwa ya bakteria kwa kusafisha banda na vyombo vya chakula
Magonjwa mengi ya BAKTERIA uwa na dawa/tiba Isipo kuwa magonjwa mengi virusi uwa hayana tiba mbadala
Post a Comment