MPAPAI
Papai lenyewe ukilikata na kuwapa kuku uongeza vitamin MWILINI.
MAJANI YA MPAPAI
Chukua jani moja la MPAPAI pondaponda hadi lilainike kisha changanya kwenye maji lita moja na NUSU
Wape kuku , utibu MAGONJWA yote ya kualisha na zoezi ili linafanyika siku 5 mfululizo
MPAPAI KAMA KINGA
Unaweza kuchukua jani moja na kuliponda na kuchanganya ndani ya maji lita mbili na NUSU
Kisha wape kuku kwa wiki moja Mara moja
Ni Kinga muhimu kwa MAGONJWA ya kideri , NDUI , gumboro
Post a Comment