KABLA YA KUANZA BIASHARA YA UFUGAJI ZINGATIA
1.Soko (The market)
Je eneo lako ama mazingira unayo ishi kuna uhitaji wa bidhaa yako (kuku,mayai) !
Je watu wa jamii yako uchumi wao unakidhi kununua bidhaa yako (financial status) !
Njia gani unatumia katika mauzo ya bidhaa yako !
Njia gani unatumia kutangaza BIASHARA yako ili watu wakufahamu zaidi (promotion strategy) !
2.Maarifa na uzoefu ( knownlarge and skills)
Hapa ndio umuhimu wa kundi la UFUGAJI WA KUKU uhitajika mana ukutanisha wafugaji wengi kujifunza ZAIDI (self education)
Ni vema uwe na elimu ya KUTOSHA kuhusiana na aina za kuku , magonjwa , uzalishaji , elimu hii inasaidia kujua namna ya kuendelesha BIASHARA yako (business strategy)
3.Pesa za mradi (financial Issue)
Ni pesa kiasi gani inaitajika ili kuanza mradi wa UFUGAJI !
Nitapataje pesa za kuanzisha BIASHARA ya UFUGAJI (source of funds/income)
Ni elimu gani ya msingi (fundamental education) inaitajika ili kuendesha BIASHARA ya UFUGAJI
4.Ushindani (compition)
Ni Aina gani ya wafugaji wapo katika eneo lako (location)
Wana uhimara na udhaifu kiasi gani !
Wanatumia njia gani katika mauzo yao ya kuku (selling method) !
Mpinzani wako wa kibiashara anakua au anadhoofika katika mauzo ya bidhaa yake (product)
Je kuna mambo ya kujifunza kupitia BIASHARA yake !
Post a Comment