MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KATIKA VIFARANGA
1.Chakula cha kuku kiendane na umri wa kuku husika , unaweza kuchanganya mwenyewe au kununua dukani
2.Ukichanganya mwenyewe hakikisha anatumia formula sahii yenye uhakika
3.Hakikisha vyombo vya maji vinakua safi muda wote
4.Hakikisha vifaranga wanapewa chakula wanachoweza kumaliza
Post a Comment