KIASI CHA JOTO KWA VIFARANGA VYA KUKU
Wiki ya kwanza ni 35°C
Wiki ya pili ni 32°C
Wiki ya tatu ni 29°C
Wiki ya nne ni 26°C
NB: Ikiwa huna kipimo maalumu cha kupima JOTO unaweza kutambua hali ya joto kwa kuangalia mazingira ya VIFARANGA
Ikiwa wamekaa mbali na chanzo cha joto maana yake JOTO LIMEZIDI
Ikiwa wamesogea karibu na chanzo cha joto maana yake JOTO ALITOSHI
Ikiwa wanalia kwa furaha , wanacheza na kukimbizana sehemu yoye maana yake kiasi cha JOTO KINATOSHA
Post a Comment