UTENGENEZAJI WA MCHWA KAMA CHAKULA CHA KUKU
Na Comrade Ally Maftah
- Changanya kinyesi kikavu cha ngo'mbe na majni makavu / Mabua ya mahindi/Maranda ya mbao.
- Mwagia maji mpaka mchanganyiko.
- Weka kwenye chungu au boxes kisha uelekeze sehemu yenye dalili ya mchwa au kwenye kichuguu.
- Funika kwa muda wa masaa 25 baada ya muda huwo mcha watakuwepo wengi chukua box lako kamwage kwenye Kuku. husaidia Sana ktk ukuaji soma zaidi.....
Post a Comment