HOMA YA MATUMBO / FOWL TYPHOID
Ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea aina ya salmonella pallinarum
Soma zaidi
Mbinu za kutibu mafua ya kuku kwa haraka gusa hapa link 1
Dalili za homa ya matumbo
1.Kuhalisha kinyesi rangi ya nyeupe au kijani , njano na majimaji
2.Kuku kukosa hamu ya kula na kunywa
3.kuku kuwa dhaifu na kuzubaa
4.Vifo hutokea kwa asilimia 50
5.Utagaji upungua kwa kuku wazazi
Kinga
Usafi bandani
Chanjo
Tiba
Furazolifone
Trisulmasyne
Esb3
Soma zaidi
Post a Comment