USHAURI KABLA YA KUANZA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU
1.Zingatia kanuni na USHAURI bora juu ya ufugaji wako
2.Chagua mbegu bora ya kuku inayoendana na soko lako
3.Fikiria njia za kutatua CHANGAMOTO ulizozibaini katika UFUGAJI
4.Fanya uchunguzi wa soko la kuku wako kabla ya kuagiza
5.Piga hesabu ya UWEKEZAJI wako wa mradi kuanzia mwanzo hadi mwisho
6.Hakikisha umepata maelekezo sahii juu ya ufugaji kabla ya kuanza kufuga
Post a Comment